-
Notifications
You must be signed in to change notification settings - Fork 0
/
gamayun_kit5k.swa
5000 lines (5000 loc) · 259 KB
/
gamayun_kit5k.swa
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42
43
44
45
46
47
48
49
50
51
52
53
54
55
56
57
58
59
60
61
62
63
64
65
66
67
68
69
70
71
72
73
74
75
76
77
78
79
80
81
82
83
84
85
86
87
88
89
90
91
92
93
94
95
96
97
98
99
100
101
102
103
104
105
106
107
108
109
110
111
112
113
114
115
116
117
118
119
120
121
122
123
124
125
126
127
128
129
130
131
132
133
134
135
136
137
138
139
140
141
142
143
144
145
146
147
148
149
150
151
152
153
154
155
156
157
158
159
160
161
162
163
164
165
166
167
168
169
170
171
172
173
174
175
176
177
178
179
180
181
182
183
184
185
186
187
188
189
190
191
192
193
194
195
196
197
198
199
200
201
202
203
204
205
206
207
208
209
210
211
212
213
214
215
216
217
218
219
220
221
222
223
224
225
226
227
228
229
230
231
232
233
234
235
236
237
238
239
240
241
242
243
244
245
246
247
248
249
250
251
252
253
254
255
256
257
258
259
260
261
262
263
264
265
266
267
268
269
270
271
272
273
274
275
276
277
278
279
280
281
282
283
284
285
286
287
288
289
290
291
292
293
294
295
296
297
298
299
300
301
302
303
304
305
306
307
308
309
310
311
312
313
314
315
316
317
318
319
320
321
322
323
324
325
326
327
328
329
330
331
332
333
334
335
336
337
338
339
340
341
342
343
344
345
346
347
348
349
350
351
352
353
354
355
356
357
358
359
360
361
362
363
364
365
366
367
368
369
370
371
372
373
374
375
376
377
378
379
380
381
382
383
384
385
386
387
388
389
390
391
392
393
394
395
396
397
398
399
400
401
402
403
404
405
406
407
408
409
410
411
412
413
414
415
416
417
418
419
420
421
422
423
424
425
426
427
428
429
430
431
432
433
434
435
436
437
438
439
440
441
442
443
444
445
446
447
448
449
450
451
452
453
454
455
456
457
458
459
460
461
462
463
464
465
466
467
468
469
470
471
472
473
474
475
476
477
478
479
480
481
482
483
484
485
486
487
488
489
490
491
492
493
494
495
496
497
498
499
500
501
502
503
504
505
506
507
508
509
510
511
512
513
514
515
516
517
518
519
520
521
522
523
524
525
526
527
528
529
530
531
532
533
534
535
536
537
538
539
540
541
542
543
544
545
546
547
548
549
550
551
552
553
554
555
556
557
558
559
560
561
562
563
564
565
566
567
568
569
570
571
572
573
574
575
576
577
578
579
580
581
582
583
584
585
586
587
588
589
590
591
592
593
594
595
596
597
598
599
600
601
602
603
604
605
606
607
608
609
610
611
612
613
614
615
616
617
618
619
620
621
622
623
624
625
626
627
628
629
630
631
632
633
634
635
636
637
638
639
640
641
642
643
644
645
646
647
648
649
650
651
652
653
654
655
656
657
658
659
660
661
662
663
664
665
666
667
668
669
670
671
672
673
674
675
676
677
678
679
680
681
682
683
684
685
686
687
688
689
690
691
692
693
694
695
696
697
698
699
700
701
702
703
704
705
706
707
708
709
710
711
712
713
714
715
716
717
718
719
720
721
722
723
724
725
726
727
728
729
730
731
732
733
734
735
736
737
738
739
740
741
742
743
744
745
746
747
748
749
750
751
752
753
754
755
756
757
758
759
760
761
762
763
764
765
766
767
768
769
770
771
772
773
774
775
776
777
778
779
780
781
782
783
784
785
786
787
788
789
790
791
792
793
794
795
796
797
798
799
800
801
802
803
804
805
806
807
808
809
810
811
812
813
814
815
816
817
818
819
820
821
822
823
824
825
826
827
828
829
830
831
832
833
834
835
836
837
838
839
840
841
842
843
844
845
846
847
848
849
850
851
852
853
854
855
856
857
858
859
860
861
862
863
864
865
866
867
868
869
870
871
872
873
874
875
876
877
878
879
880
881
882
883
884
885
886
887
888
889
890
891
892
893
894
895
896
897
898
899
900
901
902
903
904
905
906
907
908
909
910
911
912
913
914
915
916
917
918
919
920
921
922
923
924
925
926
927
928
929
930
931
932
933
934
935
936
937
938
939
940
941
942
943
944
945
946
947
948
949
950
951
952
953
954
955
956
957
958
959
960
961
962
963
964
965
966
967
968
969
970
971
972
973
974
975
976
977
978
979
980
981
982
983
984
985
986
987
988
989
990
991
992
993
994
995
996
997
998
999
1000
Huyo ni rafiki yako mpya?
Job hana hamu ya mpira wa vikapu.
Adam aliniambia kuwa Alice alikuwa na mpenzi mpya wa kiume
Radio haikutanga kuhusu ajali hiyo.
Adamu ana wasiwasi tutapotea.
Tutakwenda kwa basi isipokuwa Joe na Emma wanataka kuchukua teksi.
Picha hizi zinachukuliwa kutoka wapi?
Hudhanii Jacob anaweza kushinda, unafikiria?
Oscar hajalazimika kutupia miamba kwenye paka hizo.
Oliver alikuwa na umri mgani alipohamia Australia?
Je, utatupa hii?
Yeye ni maarufu kuliko mimi.
Meza moja mara nne kwa siku, baada ya kula.
Naenda Australia katika msimu huu wa unyevu.
Susie hakutaka kuzungumza na Oscar, lakini hakuwa na chaguo.
William amelala, lakini Carmen bado.
Jacob alihisi kughadhabishwa.
Anna hadhani anaweza kufanya hivyo.
Una urazini?
Ninaweza kukuelezea ikiwa uniruhusu.
Nahitaji mtu wa kuongea naye.
James alisema hakujua kwanini Alice alitaka kuachana naye.
Hii ndio yote tunaweza kukupa.
Adam na Olivia walidhani walidhani John alikuwa na wakati mgumu sana kufanya hivyo.
Alivunja sheria
Hi ni nafasi nzuri sana ya kupoteza.
Je, mlango ulikuwa umefungwa?
Napenda mchezo wa chess.
Julia anasema Tommy atakula chakula cha mchana na yeye.
Joe anapenda jinsi Alice alivyofanya hivyo.
Nilifika kuchelewa sana kusikia hotuba ya Harry.
Nilifanya kila kitu ambacho Charlie aliniambia ninahitaji kufanya.
Nashangaa kwanini hatuna wateja wowote leo.
Oliver alisema kwamba alitaka hiyo, kwa hivyo nikampa.
Mbwa huyo mweusi anamtazama paka huyo mweupe.
Harry na Laur bado si njaa, sivyo?
Harry ni sawa, sivyo?
Sidhani kama Jacob anajua jinsi ya kufunga viatu vyake.
"George, bado unanipenda?" "Kwa kweli, mimi."
Yeye ni maarufu kuliko mimi.
Nashindwa kuelewa shida ni nini.
Sikumbuki haswa kile Adamu alisema.
Nikamuuliza jina lake.
Sidhani kama William anajua kile Alice angependa afanye.
Jami na Monica walisema wataondoka saa 2:30.
Ushindani wa afya daima ni mzuri.
Oscar ndiye pekee anayeonekana anajua la kufanya.
Mpe mtu mwingine nafasi.
James hayupo chumbani kwake.
Uliona Adamu anaondoka?
George alionekana kuwa mzuri wa kutosha.
Niliona dirisha likishuka.
Je! Kuna mto popote karibu na hapa?
Kitabu nilinunua kiko mezani.
Kompyuta yangu iliacha kufanya kazi siku chache zilizopita.
Tommy ananiuliza kitu kile kile kila anaponiona.
Je, unaweza kusonga mbele kidogo, tafadhali?
Ondoka usoni mwangu.
Jack hajazungumza juu ya hilo.
Harry hakumwacha Lucy peke yake.
Nimeishi hapa kwa miaka hii kumi.
Ninaogopa kwa urahisi.
Nilidhani kuwa itakuwa nyingi.
Je! Adamu na Monica walisema wanahitaji kufanya hivyo leo?
Charlie anaweza kuwa anafanya chochote?
Joe hajui alizaliwa wapi.
Adamu na Ana walisema hawakwenda popote.
Karibu sijawahi kutembea mahali popote.
Sipendi uvuvi, lakini baba yangu anapenda.
Je, unaweza kufikiria sababu yoyote kwa nini Tommy hangependa kufanya hivyo?
Ikiwa Charlie ataenda, nitaenda naye.
Nilikuwa na mashaka.
Sijawahi kusema kuwa ninataka kwenda.
Hauwezi kufikiria, unaweza?
Silika inahisi laini.
Ninaendelea kujiuliza swali lilo hilo.
Walikuwa na mtoto mmoja tu.
Tommy alisema anatarajia kurudi Jumatatu.
Ninaelewa Kiyunani, lakini siwezi kuongea.
Sote tunahitaji kujifunza kushughulikia hali hii.
Je, utakuwa huru Ijumaa alasiri?
Je, Charlie alijuaje kuwa Julia alikuwa amefariki?
James alifariki Jumatatu.
Je, una mzio kwa mimea yoyote?
Nitakuwa huko hadi 8:30 mchana
Nataka kukaa wakati wa majira ya joto huko Boston.
Ninawezaje kuchagua samaki freshi?
Unapaswa kusoma aina ya vitabu ambavyo vina aina ya habari ambayo itakuwa muhimu kwako baadaye maishani.
Jacob anapenda kuandika mashairi.
Ilikuja kama mshtuko kidogo.
Alisema kuwa alikuwa na nia.
Daraja liko wazi kwa trafiki.
Tommy hajui ni nani Eva anataka kwenda naye kucheza densi.
Kitabu hiki kitasaidia katika masomo yako.
Adamu alinunua koti ya ngozi.
Ninapenda lafudhi hiyo.
Nilijua hataipenda karamu.
Niletee kichwa chake.
Jami ankuwa mgumu.
Tafadhali kufahamishe kuihusu.
Unaweza kufanya chochote unachotaka kufanya.
Ninapenda bacon!
Natumai Jami anakuja kwako leo.
Ikiwa William atafanya hivyo, mimi pia.
Matunda haya ni bora kuliko lile!
Charlie alinieleza utani.
James alimwambia bosi wake kuwa lazima aondoke mapema.
Meza vidonge vyako.
Harry anahitaji zaidi ya dola mia tatu.
Yeye ni mchezaji wa tenisi.
Babake anafanya kazi kwenye benki.
Harry ni mtu wa ajabu sana.
Huendi mle ndani.
Picha za kwanza kabisa za ulimwengu zilichukuliwa katika miaka ya 1830.
Yeye hana moyo hata kidogo.
Ninatumai kupita mitihani yangu yote.
Sina malalamishi.
Lazima nimuombe msamaha Jami.
Ninafakari kuhamia Boston.
Sidhani George anaelewa hayo.
Najua George anajua anafaa kufanya hivyo.
Je, wanafahamiana?
Tuna mengi ya kunywa.
Urafiki wako ni muhimu.
Harry alisema kuwa hakuna na mpango wa kuenda kuogelea kesho.
Viwili kati ya vitabu vyangu vimechukuliwa.
Sikuwa na nia ya kufanya hayo.
Kuna mahali kwa kila mtu.
Nafikiri nafaa kumwambia Oliver mahali nimekuwa.
Willliam alishikisha bango ukutani.
Hutaipenda.
Muhammad alimwambia Margaret kwamba angemsaidia kufanya hivyo.
Acha kumtisha.
Muhammad alisema alifikiria kwamba labda sikuhitaji kufanya hivyo.
Susie aliacha koti lake ndani ya gari lake.
Bado nadhani tunapaswa kumualika James aende nasi.
Mimi hutembea kila siku.
Lucy anapenda sana kuogelea, sivyo?
Je, sikukuambia James asingeipenda?
Charlie hapendi kuogopa.
Je, umepata lipstick?
Samahani, lakini lazima niende kwenye mazoezi.
Jack anafikiria kwamba lazima nifanye hivyo leo.
Afadhali nisiimbe usiku huu.
Nafikiri nimeisuluhisha.
Ninajua ulichofanya Australia.
Hakufai wewe.
Mbona hukuniambia hukuwa unaenda kuitekeleza?
Adama anasema kwamba hataki kuizungumzia.
Nilikuwa naotea kuwa mfano bora.
Ana umri mdogo tu kunizidi.
Mtu alimtupia jiwe.
Uelewa wa watu ndio silaha muhimu unayofaa kuwa nayo.
"Je, unataka kujua?" "Kila kitu."
Sina kitu bora kufanya.
Lakini nitakuwa nakueleza ukweli kuhusu changamoto tunazopitia.
Charlie alimwambia Valentine jinsi alivyo kutana na John.
Valentina alisema amekuwa na shughuli nyingi siku nzima.
Usipige kelele, au umekufa.
Adamu amefanya hivyo mara moja tu.
Tumejuana kwa muda mrefu.
Joe alisema anatumaini kwamba Alice hatamruhusu John kufanya hivyo.
Hakuna mtu katika familia yangu anayeweza kufanya hivyo.
Ilikuwa dhahiri kwamba Jack alikuwa ameambia uwongo.
Haitakuwa rahisi kupata kazi sasa.
Adamu na Mariamu sio matajiri kama watu wanavyodhani.
Oliver hakuwa na shaka kuwa kutakuwa na watu wengi hapo.
Tulisafiri nchi nzima.
Alifahamisha kila mahali.
Nilipewa chaguo la chai au kahawa.
Bado tunafanya kazi hiyo.
Siri ni kukuuwa.
Nitaathiriwa sana na kifo chake.
Ninahitaji msaada wa Harry juu ya hii.
Tommy na Valentina wanasema wamechoka kutazama runinga.
Wanaelekea huku.
George alisema kwamba hakuwa na mpango.
Jami ana picha ya familia yake kwenye dawati lake.
Hautamruhusu Charlie afanye hivyo, sivyo?
Sina haja ya kujieleza mwenyewe.
Hakuna mtu isipokuwa Jacob anayejua kile kilichotokea.
Unazoea kila kitu.
Sidhani kama kuna mtu ananielewa sana.
Ninaanza kuelewa.
Ulisikia kelele nyuma yako.
Ulifanya kosa hilo kwa kusudi, sivyo?
Oliver hafikirii Mariamu anasema kile anafikiria kweli.
Wacha tuone jinsi itakavyotokea.
Ulikwa unalia kwa nini?
Nilidhani jambo bora litakuwa kumwambia Jack mwenyewe.
Najua ni lazima.
Nadhani Joe ni mzuri kwa kufanya hivyo.
George angefanya hivyo kama angetaka.
Tulikuwa na sababu zetu.
Lazima nimsaidie Jacob kuchukua karakana.
James atakua na kiu sana baada ya kufanya hivyo.
George alisema kwamba hafikirii kuwa Carmen anapenda sana kufanya hivyo.
Kawaida yeye hulala kwa masaa nane.
Oscar na Carmen wanasema wanatarajia kuwa John anajua jinsi ya kufanya hivyo.
Unahitaji kupiga simu mara moja.
Wanaweza kuondoka ikiwa wanataka.
Adamu sio mzuri tu kwenye densi.
Je, hutaki kujua nini kimetokea kwa Joe?
Ni msimu ya jua kali tayari.
Je, ulituwahi vipi?
Ni halali.
Muhammad alisema kuwa Alice alijua kuwa anaweza kufanya hivyo mara tatu zaidi.
William hakunilipa kama vile alivyoahidi kwamba atanilipa.
Nilimuamini.
Madirisha ya William yalifungwa.
Hawawezi kuniona.
Anajua kila lazima afanye.
Tafadhali jifurahishe kwenye densi.
Mbwa hawawezi kuongea, lakini ni kama macho ya kijibwa kilisema, "Hapana, sina nyumba."
Unapaswa kuja wakati fulani.
Nilikipata nyumba ya sehemu funge.
Mbwa wangu haumi.
Tommy na Valentina walisema walikuwa wakipanga kukaa Boston msimu wa joto ujao.
Je, ulidhani nilikuwa wapi?
Nilimsaidia Tommy kusafisha jikoni.
Sarafu za kale zilipatikana ndani ya kaburi la ajabu.
Nadhani Adam na Lucy wanavutiwa.
Baba yangu alinipeleka kwenye sinema jana usiku.
Adamu alifanya hivyo, ingawa hakuhitaji kuifanya.
Ningependa kuona Tommy akifanya hivyo.
Je, unafikiria nini kilitokea?
Ninapanga kuwa daktari.
Unaweza kuchukua kitabu chochote unachopenda.
Wewe ni mwanafunzu mzuri.
Sio rahisi kwangu kuona kitu kama hiki.
William na Lucy wanasema kwamba wanatumaini utafanya hivyo.
Ulipata ngapi?
James anakunywa kahawa ya papo hapo.
Sidhani kama Adamu ndiye aliyeandika ripoti hii.
Tafadhali subiri kidogo.
Jami aliniambia kuwa angetaka nifike kesho saa sita mchana.
Sikujua Muhammad alitaka kufanya hivyo peke yake.
Tunaondoka sasa.
Oliver anaenda matembezi na Valentina na wanapaswa kurudi haraka.
Wakati huo, nilihisi maelewano nusu na ulimwengu.
Tommy aliacha simu yake nyumbani.
Nilijua George na Olivia wangelia.
Sipendi kuwa karibu na watu masikini.
Kile unachokipika kinanukia vizuri.
Huo ni uteuzi mbaya wa maneno.
Alisema alifikiria nina haiba.
Mwambie nina mguu uliovunjika.
Mipango yetu ya likizo ingali angani.
Kitabu hiki kilikuwa ushawishi mkubwa.
Harry alisema hakuwa na hakika kwamba Carmen anapaswa kufanya hivyo.
Tommy hafikiri kwamba Lucy angeweza kufanya hivyo, sivyo?
Jua huleta tofauti zote.
Je, wewe huwa unacheza gofu na nani?
Tunafanyaje hivyo?
Je, wao ni mbwa wako?
Bado siwezi kuiamini.
Mtu huyo wa mauzo anaonekana mzuri sana.
Lazima uwasilishe ripoti Jumatatu.
Anna anasema amechoka kufanya hivyo.
Ninajuta kuimba wimbo huo kwenye harusi ya Jami na Olivia.
Yeye si mwenye fadhili tu, lakini mwaminifu pia.
Nilipata nyongeza mkubwa wa mshahara.
Nashangaa ni nini Tommy atafanya.
Najua unamjali Adamu.
Ningefanya mambo yale yale.
Alichoka karibuni.
"Je, ulienda Boston?" "La, sikuenda" "Na Chicago, je?" "La, sikuenda pia Chicago."
William ana umri takriban miaka 30, ndio?
Kwa maoni yako, ni mambo gani ambayo yangemvutia?
Ni vizuri ujaribu hili.
Ni wakati upi mwafaka wa kukuchukua?
Nafahamu sina hela za kutosha.
Charlie ako shwari kabisa.
Biashara yake inatumia mtandao.
Nani alienda nawe jana?
Jami siye aliyemkanya Olivia kufanya jambo hilo.
Nilijaribu kumwelewa, kufikia kiwango chake.
Hii ndiyo kompyuta niliyokueleza kuhusu.
Mimi ndiye nilikuwa mfanyikazi bora kwa miakaa tatu mtawalia.
George na Olivia walisema hawataki kuketi nasi.
Anapenda michezo ya kubahatisha.
Anaonekana kuwa mgonjwa.
Dan na Linda walirudi nyumbani.
Sitaweza kumaliza kazi hii kwa wiki moja.
Nta hii ni nzuri.
Nashangaa ikiwa malipo yake ya ushuru yatastahimili uchunguzi.
Alinidanganya.
Tulimchagua kuwa meya wetu.
Je! Harry yuko kwenye ukurasa upi?
Karibu tutamatishe shughuli za siku.
Jana niliwatembelea marafiki zangu William na Laur.
Kuna uwezekano Oscar na Margaret walifanya hivyo pamoja.
Jacob alifaa kumpa Susie zawadi ya kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwake.
Nimekuwa marafiki na James.
Nilishangaa kumsikia George akisema hatalifanya hilo.
Monica hataweza kufanya kazi peke yake kwa hivyo tunafaa kumuuliza mtu mwingine amsaidie.
Mimi na Jami huwasiliana kwa arafa mara kwa mara.
Kulikuwa na kimya kikubwa.
Waambie ulidanganyana.
Unafikiri ni muhimu?
Unajua Jacob hafai kuwa akifanya hivi peke yake.
Hujawahi kwenda Pari?
Natumai James na Valentina wataenda nyumbani hivi karibuni.
Nilifikiri utaipenda.
Yule daktari mzee aliwashughulikia wagonjwa wake kwa makini.
Laiti singepata usaidizi wake, singefaulu.
James aligundua pete ya Julia ambayo inapendeza.
Harry ni kiongozi wetu.
Je, leo jioni huna muda?
Walichezea kikosi cha shule yao.
Oliver na Laur walisema kuwa walifurahi kufanya hivyo.
Tamasha litakuwa lini?
Singemwambia Alex lau isingetakikana.
Nimepitia hapa tu sasa hivi.
Nafaa kula chakula cha mchana pamoja naye.
Alifanya kitendo hiki cha kijinga kimakusudi.
Harry alikuwa akiliendesha gari.
Ndugu yangu yuko Boston anasomea waalimu.
George na Susie hawajakuwa huko kwa muda mrefu.
Ndugu yake hufanya kazi kwa bidii.
Yule mtu aliyeketi kwenye kiti pale uwanjani alionekana kana kwamba amelala.
Alifika hapa muhula uliopita?
Alex aliangalia katikati ya nafasi.
Nataka kitu cha kuandikia.
Inachukua muda mrefu na kugharimu pesa nyingi kujaza tanki lile kwa mafuta.
Ala, wanicheka?
Charlie alikuwa na hela za kutosha kununua chochote alichohitaji.
Safari hii itagharimu pesa ngapi?
Je, ungependa niwaeleze polisi?
Jami alinieleza alifikiri Eva bado alistahili kufanya hivyo.
Utalijadili, sivyo?
Nilifikiri ni bora kungoja hadi kesho.
Sina uhakika wa kile nitakachofanya.
Napendelea Kiingereza.
Una mifuko yoyote ya kuangalia?
Harry alisema kuwa alifikiri Eva angefurahia onyesho.
Ana wasiwasi kuhusu matokeo ya mtihani.
Je unajua Alex alitumia dola 3,000 kwa hilo?
Nakutakia wewe na familia yako Krismasi njema.
Anajivunia kuwa mrembo.
Umewasiliana na Jack tangu aondoke?
Charlie alikuwa anajaribu tu kufanya urafiki.
Baba alikuwa anasoma hadithi za kijasusi kwa wakati wake wa mapumziko.
Harry alinieleza Emma hatokuwepo.
Karibu kinywaji.
Katika jamii yetu, Jami tu ndiye amezuru Australia.
Wakati Tommy alifungua dawati lake, vitabu vyote vilianguka sakafuni.
Namchukua kama rafiki.
Valentina ni mwalimu mzuri.
Ujumbe huu uliletewa asubuhi.
Taulo haikuwa na matumizi.
Sasa umeanza kujizoesha mienendo ya kampuni.
Kubali,Muhammad, yameisha.
Sikuahidi kuhudhuria mkutano.
Valentina alimsukuma Alex mbali naye.
Sikupata mafunzo kikamilifu.
Oscar kamwe hataamini nilifanya kitendo hicho kimakusudi.
Jacob hawezi kulalamikia jambo kama hilo.
Nenda ukamchukue.
Nilidhania mimi na wewe tutaandamana.
Muziki ni sawa na maisha ya kindani, yeyote ambae ana maisha haya hawezi kuwa na upweke.
Nadhani haifai kwenda huko peke yako.
Alisema kuwa hakuhisi salama.
Ungependa matunda?
Tukitembea lazima tuangalie kushoto au kulia.
Oliver na Lucy walisema kuwa walihitahi kufanya hivyo kivyao.
Ni bora kuliko filamu.
Kwa hivyo sio moto hata kidogo.
Nitaandika nini hapa?
Jacob anakielewa kifaransa vizuri kumliko Julia.
Zitakusaidia kupata joto.
Sikusema niliwahi kuishi Australia.
Hilo linaweza kuwa na matokeo mabaya.
Sijui hasa kilichotendeka.
Tuongee naye.
Jack na Emma wamesema wangependa kushinda.
Oliver anapenda kuogelea pia.
Ningependa kueleza mambo kinaga ubaga. Charlie SIO mpenzi wangu.
Mama, unahitaji kutia sahihi. Wacha niisome. La, ni sawa. Hulazimiki.
Hangeweza kutatua.
Afadhali nisijue kamwe.
Nani kiongozi hapa?
Una simu nyumbani.
Sidhani.
Wakati mwingine yeye hukasirika bure.
Huu ni upuzi mwingi!
Nilidhani ulikuwa unapanga kwenda Australia.
Alisema alifurahi kufanya hilo.
Tayari najua alichokifanya Jami.
Mpenzi wangu ni mweledi wa upishi.
Haijafanyika hapo awali.
Najua Jami hatakuruhusu kufanya hivyo.
James anaitaka sana.
Julia alikuwa anajikinga.
Ulisomea chuo kikuu kipi?
Unapenda kunifanyia mzaha, sio?
Nambari hio ni shwari kabisa.
Walitaka niwanunulie farasi mdogo.
Uliweka wakati.
Najua Adam atajua la kufanya.
Twende tukale kwenye mgahawa.
Dan alisikitishwa sana na kifo cha Linda.
Ulitaka kunieleza kuhusu uhuru?
Sidhani mimi na Adam tunaelekea popote.
Nitakukumbatia kwa nguvu.
Sisi tuna shughuli nyingi.
Ningengoja zaidi.
Si sharti Anna apate anachotaka kila wakati.
Unampenda kisiri, sio?
Unamkosa mkeo?
Ikiwa kulikuwa na shida, tungejua.
Ni kitabu cha kihispania.
Ni bahati mbaya alipoteza pasipoti yake.
Si vizuri kusema uongo.
Jack hataki kitu kimtendekee Emma.
James na Mary hawatumii simu zao mara kwa mara.
Ulianza lini kukisoma Kiingereza?
Nilichoka kumngoja James afanye hivyo.
Wewe, unapendeza!
Oliver alinunua kamera kama yako.
William hawezi kuacha kufanya hivyo.
Afadhali aje kesho.
Oscar hajui kwanini Julia anahitaji kumwomba dola thelathini.
Wewe ni mwerevu kuniliko.
Dan anaongea na nani?
Naogopa kujaribu kufanya hivyo.
Mbona usiingie ili tunywe chai?
Eva haonekani kuelewa kwanini afanye hivyo.
Nilimuuliza Jami kwanini hakufanya hivyo.
Nashangaa ni nini George ameficha nyuma yake.
Nimefanya hivyo mara kadhaa.
Ungelijua ungeniambia, sio?
Mlete hapa.
Mji wetu bado hauna huduma ya maji.
Harry ni mchezaji tenisi hodari.
Usikule kucha zako.
Karibuni nimeota kitambi. Pengine ni umri wa kati.
Nina ushauri kwako.
Adam ni nani lakini?
Alikuja akikimbia huku macho yaking'aa.
Ningependa unipe nafasi.
Harry atafurahi kukuona tena.
Kifaransa sio lugha pekee ambayo ninajifunza.
Adam na Olivia walisema kuwa wangelipa zaidi.
Je! unahitaji muda upi kujifunza Kijerumani?
William hakutaka kusimama foleni.
Sidhani tunafaa kuongeleshana.
Jami asingelikubali ufanye hilo.
Nitakupa chochote unachotaka.
Nilimuuliza George alikokuwa.
Mbona Eva hujifanyia haya?
Ilichafua roho.
Nimeachwa na treni.
Tommy asingerudi kamwe.
Nimekununulia maua haya.
Hana uhakika anafaa kufanya hilo.
Pengine John ataupita mtihani.
Mmoja wetu atalazimika kumwona John kesho.
Pengine ni vizuri uweke kikombe hicho cha ushindi sebuleni.
Mimi na Alex tulikuwa kwenye ndoa kwa miaka mitatu.
Nimepata tai nzuri ya kumpa.
Mimi sijaribu kukuthibiti.
Alisema alifurahia mandhari.
Yeye ni mzee kama nyanya ya shetani.
Oliver na Monica walinieleza wangependa niwanunulie mchoro.
William na Emma walisema walifikiri watahitaji kufanya hilo wiki hii.
Hivyo ndivyo ninavyofikiri pia!
Je, gari hilo lingine lilikugonga vibaya?
Namsikia mtu akiimba.
Wala si mimi.
Kazi yangu ni kujua haya mambo.
Jack hana tashwishi kuhusu uwezo wa kufanya hilo.
Maagizo yako kwenye kifurushi.
Je, umewahi kumbusu msichana mwingine?
Ninaweza kupanda ndege hii?
Alikutana na Alex huko.
Nilifanya mwalimu alivyosema.
Hukuonekana kama ulikuwa umeshtuka.
Alex amefanya kazi mjini Boston kwa muda gani?
Kuna jambo lililomtendekea?
Nahitaji kwenda kupunga hewa.
Adam na Carmen wanapenda chakula cha Thailand.
Hakuna aliye na akili timamu angefanya hili.
Wanasema wako tayari kufanya hivyo.
Charlie anajua ulichofanya.
George bado hajawalisha kuku.
Najua kwanini Adam alikuwa amesisimka.
Hudhani nilifanya hivyo.
Charlie alitayarisha meza kwa chakula cha jioni huku Carmen akipika.
Alice bado hajaliosha gari lake.
Nilisisitiza tubadilishe mpango wetu wa hapo awali.
Mwanamume huyo alikuwa na uzani mkubwa hivyo hangeweza kutembea kivyake.
Maisha yanapotea.
Oscar hajui mpenzi wa Olivia ni nani.
Oscar ndiye alimshawishi Eva kumfunza John kuendesha gari.
Kwanini ungependa kuishi Australia?
Carmen alisema hakutaka kuzungumza kuhusu kazi.
Nashangaa ikiwa Harry na Laur waliweza kufanya hivyo.
Harry na Maria walisema hilo silo walihitaji kufanya.
Siwezi kustahimili ukweli.
Dada yangu ni mwerevu sana!
Nafamu jambo hilo halipendezi.
Kila siku uhusiano wetu uliimarika.
Nitashinda hili.
Margaret atafanya haya peke yake kweli?
William na Olivia hawakusema wamepanga kuondoka lini.
Ulichukua muda upi kutembea hadi kwenye kituo?
Alishika penseli kwenye mkono wake.
Jacob alitumai hatolaumiwa kwa kosa.
Laur angeshangaa kuona Jami akifanya hivyo.
Ukiamua kufanya biashara usiogope hasara.
Je, basi hili hufika kwenye kituo cha treni?
Hujui?
Mungu alimuumba.
Sisi ni watu wa ajabu.
Nadhani Jacob alifanya kosa.
Charlie hajakusudia kuhudhuria harusi ya Alice.
Sidhani utafurahia kufanya jambo hilo.
Najiuliza alichofanya.
Utapata kuona mandhari mazuri ya Boston hapa.
Natamani kujua vile ningeweza kudhibiti hamu yangu ya kula.
Niliwaeleza nilichotaka.
Unajua kupiga densi kweli.
Haitachukua muda mrefu.
Nina miguu iliyojipinda.
Maji yanafurika kwenye bafu.
Muhammad alisema alitumai kuwa atashinda.
Oscar ataniua nikimweleza yeyote.
Oliver alianguka somo la Kiingereza.
William hataki Anna aondoke.
Sijamwambia yeyote bado.
Tunajitahidi kusuluhisha shida hii.
Polisi wanadhani alifanya kitendo hicho.
Kulipiza kisasi ni jambo linalofanywa kwa utaratibu.
Unaniaibisha.
Inaonekana kuwa rahisi sana.
Aliondoka.
Tommy alisema kuwa hana raha akiwa Australia.
Mkutano ulichukua muda gani?
Samaki, tafadhali
Tommy hatazungumzia hilo
Unawezaje kukaa nao?
Mary hakutaka kumpa Muhammad namba yake ya simu
Ni wapi naweza kuzituma barua hizi.
Si mbaya hivyo
Tommy bado yuko jela Boston.
Picha hii itathibishwa kuwa halisi
Tuna tumaini kabisa kuwa hilo limetokea
Muhammad ndiye aliyefunja dirisha
James aliniambia kwamba hataki kwenda nasi makumbusho
Walizaliwa mwaka 1970 wakipishana mwezi moja.
Sijali kile Jack na Susie wanajaribu kufanya.
Mara zote Oscar ni mtu mzuri, sivyo?
Hatujapotea.
Boston kunafananaje?
Siwezi kumwambia yeye isipokuwa ndugu yake
Alex alisema kwamba Monica alijua kwamba angeweza kufanya hivyo mara kadhaa.
Q1George na Catherine wanasema hawatakununulia
Sipo kazini.
Watu wanazungumzia sana ndoa
Nitamuuliza kesho
Aliamua kujifanyia hivyo mwenyewe.
Jambo hili lina maana kwamba watu hawawezi kwenda jijin bandarini ili kutafuta taarifa za ndugu zao.
Alice alisema hakujua mahali pakuegesha gari lake
Baba alienda kuvua samaki
James alipigwa vibaya kwa kiwango gani?
Alisimama peke yake mahali pa maegesho.
Grant alikataa kuwapa kuwapa ahadi ya uhakika.
Una hakika?
Nimefunga mbwa wangu kwenye mti bustanini.
Alisema angekata rufaa
Oscar alisema kwamba anafikiri Laur hatashinda
George alisema kwaba anekuwa akisalitiwa
Uwanja wa ndege ulibaki waki
Nilifikiri kuwa ninakufa.
Jack hataruhusu Mary ashinde.
Charlie aliniruhusu niondoke
Sidhani kwamba Alex ndiye alifanya jambo hilo.
Sidhani kwamba Oliver ataitaka baiskeli yako ya zamani.
Hekima hutoka moyoni.
Joe na Alice wanajitayarisha kwenda fungute.
Joe, ningependa ukutane na na mtu fulani.
Ulimwengu in mkubwa hauna mpaka.
Si Mimi pekee niliyekaa macho usiku kucha.
Ni bora nami niondoke.
Siwezi kuelewa kwanini John alikataa kazi nzuri kama ile.
Jamie alisema Susie alijua kwamba hakupaswa kufanya hivyo mwenyewe.
Naweza kupata tiketi ya Siku moja?
Je, nimwambie Charlie kwamba hatutafanya hivyo tena?
Jacob aliahidi kwamba atatengeneza meza ya Laur iliyoharibika.
Majirani walikuwa kimya.
Ulinunua wapi vitu hivi vyote?
Jack hana bahati ya mapenzi.
Zilikuwa nyakati ngumu.
William hataweza kufanya kazi kesho.
Sidhani kwamba Charlie na Catherine wako imara.
Adam aliwachekesha wote waliokuwapo.
Hakuna mtu anaweza kufanya kama George anavyofanya.
Dawati ni tofauti na nililoagiza.
Inawezekana kuwa Oscar atatamauka
William na kijana wake tineja walihamia Australia.
Jami alimpa Laur sandiwichi.
Adam hakufanya kamwe kivyake.
Sikuwahi kamwe kutokuwa na wasiwasi kuhusu mwanagu.
Sinema ilikuwa nzuri kuliko nilivyotarajia.
Yuko nchi za nje.
Elimu ni muhimu.
Alex na Alice wanapenda kucheza gofu.
Adam alisema kwamba mbwa wa Valentina aliuuma mkono.
Tatizo lilikuwa muda.
Je, yeye si mtanashati? Ni mrefu sana na ana mwonekano mzuri.
Tunapaswa kukuomba msamaha.
Olver alitegemeka sana.
Adam alinunua kofia. Ni cheusi. Adam anakipenda.
Je hiyo inamaanisha nini?
Mary ni mkubwa kiasi, sivyo?
Je, utaonana na Oliver usiku huu?
Tutakuwepo kwa dakika chache.
Jami aliangalia hapa na pale msituni.
Najuw kwamba nilipaswa kwa muda mrefuvzaidi.
Tulipomtembelea shangazi tulifurahia karamu nzuri sana.
Kuna uwezako mkubwa sana kwamba bei zetu zitapanda mwezi ujao.
Kwenye chungu kuna waridi jekundu.
William na Olivia walitaka kusaidia lakini John alikataa.
Wakati huo Oscar hakumpenda Anna.
Oliver na Eva walienda pamoja kwenye nyumba yenye mauzauza.
Mwanga ulipiga macho ya Charlie.
Wewe ni mtu mzuri.
Tuzo haikuwa sawa.
Inaonekana kwamba swali lilikuwa rahisi sana kwako. Wakati ujao nitajitahidi zaidi.
Atarudi chini ya dakika kumi.
Hakuna MTU anayetuzungumzia.
George amekuwa stadi zaidi kufanya hivyo.
Sikuwahi kufanya hivyo kivyangu.
Je, kuna makumbusho katika mji huu?
Najua Oliver ni mwimbaji mzuri.
Napaswa kumpa Adam kitabu hiki.
Mwalimu wetu alisogeza mbele tarehe ya mtihani.
Ilikuwa vigumu kuanza nilipotambua kuwa alikuwa akilia.
Alex anataka koti jipya.
Una bahati hakuna mtu aliyekuona ukifanya hivyo.
Amekupiga wapi?
Oscar alimsaidia mwana wake kuvaa.
Charlie alisema kwamba Alice alidhani hangehitaji kufanya hivyo tena.
Nilidhani kwamba kichwa changu kingelipuka.
Ni siku kubwa.
Alimuuliza swali asiloweza kujibu.
Kwanini hukuumuliza Oscar ikiwa kweli alitaka kufanya hivyo?
Sasa mimi si mlevi kama ulivyoniona Mara ya mwisho.
Usijikazie fikira kupita bkiasi.
Sidhani kwamba unaamini jambo hilo.
Tunajua kwamba hukumuua Jacob.
Kwanini Tommy ni wa muhimu sana kwetu?
Charlie alisema hafanyi jambo hilo.
Oliver alitumaini tutafanya jambo hilo
Nadhani Jacob ameachiwa.
Oliver aliinama na kuangalia chini ya kitanda.
Joe aliniambia kwamba anapenda muziki wa aina hii.
Kwa ujumla wanawaje wa kijapani sana kiasi.
Ingekuwa bora ikiwa William angekaa Boston.
Walifunga ndoa na kuwa na watoto wengi.
Adam na Catherine waliambia kila MTU kwamba walikuwa tayari.
Nitafanya kazi yangu ya shule baada tu ya kula chakula cha jioni.
Alichonacho in muhimu zaidi kuliko alichokuwa nacho.
Leo sio joto sana.
Nisingeenda kumwona Oliver.
Alitembea kwenye mitaa.
Tafadhali niache nifanye maamuzi yangu binafsi kuhusu jambo hili.
Angependelea kuishi katika nchi inayoendelea kwa sababu ya kiwango cha kubadilisha fedha.
Wamesafiri.
Anna anasema anapenda kutumia wakati na Jami.
Bado Nina kiasi fulani cha pesa.
Anasema atakupigia baadaye.
Bado sijapata tiketi.
Alifanya kama alivyoambiwa.
Catherine aliniambia kwamba alikuwa amekasirika.
Baba yaje anafanya kazi Benki.
Harry alimwomba Mary afunge mlango.
Najua uogopi.
Kwa nini hufanyi jambo unalopaswa kufanya?
Hatukupenda kamwe kuondoka Australia.
Nijulishe ikiwa unataka kutoka usiku wa Leo.
mimi bado sijafanya kazi hii.
Anaogopa sana mbwa.
Unadhani ataacha lini?
Bado Harry anapaswa kufanya hivyo.
Kuna mashaka mengi kuhusu mtoto.
Nitamsubiri mpaka arudi.
Hawakuwa na maua ya waridi.
Alikuwa pale wakati gani?
Nina hakika nilimuona mahali fulani kabla.
Alex alisema kwamba hakuwa tayari kwenda.
Mambo niliyosema yalimkasirisha na akaondoka ghafla.
Yeye ni MTU ambaye ninaamini anaweza kunisaidia.
Mwaka wa dragon umeisha.
Alex alijiuliza kwanini Emma alikasirika.
Jami siye mtu pekee asiyeweza kufanya hivyo.
Naweza kuazima kalamu yako.
Tuna kazi nyingi za shule.
Tutauita nini?
Tutazuia jinsi gani jambo hili lisitokee tens?
Napaswa kuchagua.
Oliver alikuwa Australia akiwatembelea wazazi wake.
Je, utakamilisha hili jambo muda si mrefu?
Kwa kweli siwezi kuogelea.
Jack alikuwa anaendesha gari mtaani akiimba kwa sauti kubwa wimbo aupendao uliokuwa ukiimbwa katika redio ya gari.
Wavulana walicheka kwa sauti kubwa.
Nilikunywa kahawa.
Laur Yuki Boston sasa, sivyo?
Wakati wa kiangazi mayai huharibika haraka.
Jana nilikuwa na mambo mengi ya kufanya.
Si vizuri kutokeza bidhaa ile ile mwaka baada ya mwaka.
Najifunza kwa bidii.
Ili use shangwe unapaswa kushiriki na wengine.
Chukua moja ya kwangu.
Wavulana hufikiria sana wasichana.
Hakuna mwingine atakayekupa ofa bora.
Unaweza kwenda nje na kucheza maadamu hutoki nje ya ua.
Ahadi niliyokupa juma lililopita bado ni kweli.
Hill si jambo watakalozungumzia.
Afadhali ningeandika mwenyewe.
Samahani kwa kukufanya usubiri.
Charlie ana shughuli nyingi sasa.
Harry alisema Laur alifurahi kwa sababu hakufanya hivyo.
Si wazo baya kufanya hivyo.
Natamani ningekuwa na Jack kufanya jambo hili.
William ana nyumba yenye bwawa.
Tunazifahamu hatari
Msichana alichana nguo.
Hawataki kuishi kivyao.
Huenda kesho mvua ikanyesha.
Fumba macho yako kwa muda mfupi na utafute jibu.
Tafadali karibu na ustarehe.
Nina habari za karibuni.
Je, unadhani George atatusaidia?
Amebeba sanduku kubwa mkononi.
Jack hakuwahi kumwona Alice akitabasamu.
Tajiri mmoja kutoka Boston amenunua nyumba karibu na nyumba yangu.a
Aliacha timu yake kwa kuwa hakuelewana na meneja.
Hana uhusiano nami.
George alikuwa anasikiliza.
Nataka kuona kilichomo ndani ya kabati.
Nitakuona muda mfupi ujao.
Jami huvaa miwani.
Ana umri wa kutosha kwenda shule.
Charlie alisema hana shughuli nyingi.
Nguo zote zilizo kwenye begi zinakutosha?
Tusitishe tafrija.
Wanadhanu hawakupaswa kufanya hivyo.
Najua kuwa hilo si kweli.
Usibishane na mwanamke akiwa amechoka.
Unaamuaje?
Najua kwamba Tommy si mchezaji mzuri wa chesi, lakini nadhani yeye in bora kuliko Emma.
Lucy alisema kwamba hakujua ikiwa Tommy amefanys hivyo.
Adam alikufa hapa.
Jack alikuwal akidanganya kuhusu jambo hilo.
Ni uhakika kuwa Mary anaweza kujitunza.
Najua kwamba Harry na Margaret wako peke yao.
Mama yangu alikifanyiza.
Valentina angeweza kufanya peke uyake ikiwa angekuwa na wakati zaidi.
Watu wawili wanaweza kucheza mchezo huo.
Nimechoshwa na malalamiko yasiyoisha ya Jami.
Inaonekana Adam anapenda Australia.
Kumbuka kutuma barua unapoelekea shule.
Jami amerudi kutoka Boston ili asherehekee Krimasi.
Inaonekana Jack na Catherine hawataki kuwa hapa.
Ni mpango upi unaamini ni bora? "
Ni kama kutembea kwenye mwezi.
Nilidhania kuwa yeye ni mrefu.
Harry alikimbia haraka kadiri alivyoweza.
Alivua viatu na soksi na kuvitupa kwa hasira.
Dan alitoa wazo jipya.
Je, unafurahia mazungumzo?
Hali ya mume wangu ni tofauti.
Labda George hajui kuwa yeye huenda amefutwa kazi.
Harry na Susie wanatusubiri.
Hatufanyi chochote.
Huenda Mimi ni mzee lakini sijarukwa akili.
Oliver alituhakikishia kuwa kufikia jumatatu atakuwa amekamilisha.
Aliniuliza ikiwa ninamjua baba yake.
Jana Lucy alikuwa amevaa vazi analolipenda.
Imeaanza lini?
Nilianza kujifunza Kichina juma lililopita.
Nataka kurudi Australia haraka iwezekanavyo.
Je, unafikiri itakuwa gharama kuwa kufanya hivyo?
Mimi in mtu pekee ninayejua siri yako.
Una hakika uko sawa?
Charlie alikasirika kwa sababu Susie alikataa kumsaidia.
Nilimkaribisha chakula cha jioni.
Chakula kiko tayari.
Je, unaweza kufanya jambo hili kesho?
Sijaribu kukuvutia.
Tommy alipaswa kukaa Australia kwa juma lingine.
Najua kwamba William na Eva wanajua.
Je, bado unacheza tenisi.
Naweza kumwona Charlie.
Tuna akili mzuri hatuwezi kutenda kipumbavu.
Tunasubiri giza liingie.
Alinitembelea mara kwa mara.
Nitaanda hilo.
Aliuliza ikiwa nahitaji taksi.
Wewe bado ni daktari wa meno, sivyo?
Kwanini watu wengi hawampendi Jami.
Unafanana kidogo na Muhammad.
Yeye anaweza kuliko Mimi.
Karibu kumaliza?
Eva anaanda kitanda chake mwenyewe kila asubuhi.
Wakati mwingine Muhammad hufanya hivyo.
Catherine alitu uliza tumwamini.
Uni fuate tu.
Tuonane kesho usiku.
Habari yako leo? Vizuri! Asante.
Nilikuwa nchini China mwaka jana.
Jacob ni bora zaidi sasa, sivyo?
Jami hakuweza kuacha.
Nilimpa Oscar nafasi nyingi za kufanya hivyo.
William na Laur waliniambia kwamba walidhani John anaweza kufanya hivyo.
Oliver hakuamini Julia ata kidogo.
Ni huruma haujui jinsi ya kufanya hivyo.
Oscar alisema kwamba Carmen alijua anaweza kufanya hivyo mwenyewe.
Niliita mama yangu.
Joe alishangaa kuwa Anna amebadilika sana.
Kila wakati ninaku ita, uko nje.
Hii ni nafasi ya Oliver tu.
Ni bei nzuri kwa kweli
Sakafu ni baridi.
Je! Umewahi kugundua jinsi ya kufanya hivyo?
Faida ndogo ni bora kuliko hasara kubwa.
Najua Jami hakuniuliza nifanye hivyo, lakini nilifanya hivyo.
Vikosi vya Uingereza viliamriwa kuchukua silaha.
Ningependa kuona kinachotokea.
Charlie ndiye aliyembusu Julia, sio John.
Niko wazi kwa maoni mapya.
Anna atakaa, sivyo?
Je! George alisema jinsi alivyofanya hivyo?
Lucy alisema alifikiria kufanya hiyo itakuwa wazo mbaya.
Nadhani haifai kwenda huko na James.
Nimefurahiya kuwa nawe hapa.
Nilifanya kazi yangu.
Hatuwezi kumudu kufanya hivyo bado.
Alex na Emma walisema hawahitaji pesa zaidi.
Hautaweza kumshawishi Jami.
Muhammad na Monica wote wawili wanasema ukweli.
Adamu alijifunza kwa bidii sana.
Ninakusudia kuwa wa kwanza mu mstari.
Anatafuta mkoba wake ambao imepotea.
Watoto wangu wote wanakwenda shule huko Boston.
Adamu alisema Alice hajawahi kufanya hivyo.
Alisahau kuosha mikono yake.
Wewe ndiye mtu pekee ninayejua ambaye hawezi kusema Kifaransa.
Ingekuwa bora ikiwa ungeenda Boston na Joe.
Nenda mbele, upe Amerika pesa zako zote zilizopatikana ngumu.
Nilidhani umesema kuwa umefanya kazi asubuhi nzima.
Je! Yakobo ana ufunguo wa nyumba yako?
Wazazi wangu wanakupenda.
Walisema wameacha kufanya hivyo.
Fanya kitu juu ya kelele hiyo.
Hiyo yote George inahitajika.
Sanduku hilo ni nzito.
Nadhani Charlie na Eva wanashuku.
Aliunda historia.
Monica aliniambia alikuwa amechoka kufanya hivyo.
Wakati Tommy alipokuja hospitalini na kumwona muuguzi huyo, alifikiria alikuwa tayari mbinguni.
Yeye ni dereva wa busi.
Jacob hakupenda kuishi katika mji.
Nilimaliza shule saa sita mchana.
Natumai Oscar sio mapema.
Je! Kuna nafasi Harry atafanya hivyo sasa?
Nina hakika Joe ni tajiri.
Polisi walivunja mapigano.
Jami alisema alifikiria nilionekana kuchanganyikiwa.
Linda ataandaa kahawa.
Emma hana hakika kabisa anapaswa kufanya.
Je! Tunajuaje kuwa sio wewe tu hufanya hii?
Alex alipitisha mtihani kwa kudanganya.
Sio juu ya pesa.
Hii ndio simu yako ya kuamka.
Susie hakuwa na chaguo ila kufanya kile ambacho Alex alimwambia afanye.
Shida za wakati wetu zinahitaji fikira mpya.
Sidhani kama utanihitaji nikusaidie tena.
Nilidhani alikuwa nje ya mawazo yake.
Laur alimuahidi Tommy atakuja kwenye sherehe yake.
Carmen hangeweza kufanya hivyo peke yake.
Oscar analia kwa urahisi.
Papa ana kula samaki
Mimi mtuhumiwa kuwa James amekatishwa tamaa.
Una bahati tunakuacha ukae hapa.
Ikiwa unajua mengi, unaweza kuwa mtu yeyote una taka.
Nilikuwaka na kazi huko Australia.
Nataka kuhakikisha kuwa inatosha.
Itabidi umwulize
We played on the beach.
Namjua Jacob bora kuliko vile mimi namjua Emma.
Nadhani Jacob hajisikii.
Nimetaka kuwa mchoraji kwa muda mrefu.
Tommy hajui ni muda gani atasubiri Anna.
Nina ujumbe muhimu kwa nyote.
Sheria hii haitumiki kwa kesi hiyo.
Labda Susie alijiua.
Je! Harry anajua unampenda Carmen?
Hujisikii unafurahi na kupumzika?
Unafanya mambo kama mtoto.
Tangu alipoanguka jikoni, akili yake haijawahi huko.
Aina hii ya hali ya hewa moto ni kitu ambacho sikuzoea.
Mume mzuri hufanya mke mzuri.
Alisema hakujali kungojea.
Mkahawa ulikuwa kimya.
Ninamcheka George.
Siwezi kuja sasa hivi.
James na Olivia walisema kufanya hivyo ni rahisi kuliko vile walivyofikiria itakuwa.
Mwanawe anajifunza kuendesha gari.
Je, kuna nafasi yoyote kwamba atakuja?
Msichana alisikiza muziki, mvulana alikuwa anasoma kitabu.
Wote ndani!
Je, unataka kurudi ofisini mwangu?
Nilidhani William alikuwa na aibu.
Sitakuambia nambari yangu ya simu.
Harry aliruhusiwa kukaa.
Sipendi mwalimu huyu.
Anamaanisha zaidi ya maisha yangu kwangu.
Tommy hufanya hivyo vizuri.
Joe bado hajui nini cha kufanya.
Wangeenda kukuua.
Bado ninafanya hivyo wakati wowote ninaweza.
Nini kingine unaweza kutarajia?
Nadhani naweza kuongea Kifaransa vile vile kama Alex anaweza.
Tuache iyo shida mpaka kesho.
Muhammad na Alice waliniambia walipaswa kugawanyika.
Ninajua kidogo au kitu chochote juu yake.
Tommy na Carmen walimwuliza John kukutana nao nyumbani kwa Alice saa 8:30 mchana.
Oscar hafanyi chochote lakini anatazama runinga siku nzima.
Aliacha kumeza dawa yake.
William na Mary wataenda huko kama vile wao hufanya.
Sikujua Charlie asingekula hiyo.
Jami anaweza kusaidia.
Charlie hajivunia zamani zake.
Ninachofanya ni kazi.
Nina baiskeli.
Nilimnunulia Jami vinywaji.
Ninaogopa hiyo ndio ukweli.
Nitakubaliana nawe mara moja tu.
Usiambie Jami nilikuwa na njaa.
Monica alisisitiza asingefanya hivyo.
Nita kufanyia chochote.
Siwezi kuamini William na Susie wote wamekwenda.
Nilikuwa na shida kumfanya Jacob afanye hivyo.
Labda Muhammad angeweza kuimba kwenye harusi yako.
Jacob alifikia na kuzima redio.
Adamu ni nyeti.
Usiongee vibaya juu ya wengine wanapokuwa mbali.
Ndio sababu tulihamia Australia.
Nilikukosa sana.
Eva anatamani angeweza kuruka.
William alinielewa.
Tunasaidiana.
Unapata wapi kukata nywele?
Nili epuka kunipigwa na lori.
Nadhani hiyo ilikuwa njia pekee ya kufanya kazi hiyo ifanyike kwa wakati.
Oscar aliniambia kwamba alifikiri Laura alikuwa mzuri.
Sio mimi pekee ambaye anafikiria Jami anapaswa kufukuzwa.
Ken alimbusu mpenzi wa Muhammad.
Kila mtu isipokuwa Jami anaonekana kufurahiya.
Yuko ndani ya pesa.
Bado sijaona matokeo.
Wakati paka ni mbali, panya hucheza.
Katika sehemu nyingi za ulimwengu, hakuna chakula cha kutosha kukidhi mahitaji ya kila mtu.
Ninajiuliza ikiwa Adamu ni hodari wa kutosha kufanya hivyo.
Sitaki kufanya kazi kama mhudumu.
Mtindo ni mzunguko mbaya.
Oliver anaweza kuweza kunisaidia.
Tunahitaji wakati zaidi.
Nina aibu kusema kuwa kazi haijakamilika.
Nina mambo mengi ya kufanya leo.
George alisema kwamba utaweza kunisaidia.
Nipigie simu baadaye?
Van yangu haina kiti cha nyuma.
Najua ningefanya hivyo, lakini sikufanya.
Nitaingia.
Je! Tunaweza kuwangojea hapa?
Nilijua Charlie hakutaka kufanya hivyo, lakini nilitaka afanye hivyo.
Je! Unaogopa kuwa katika chumba kimoja na Adamu?
Sikuwa na wakati wa kufanya kila kitu kilipaswa kufanywa.
Labda Charlie hajui kuwa Valentina anamchukia.
Tommy aligeuza jani mpya wakati alipokutana na Margaret.
Emma ana wasiwasi juu ya hatma yake.
Je,hii ni ya thamani?
Mwambie labda aniite au anipigie simu.
Mimi si mtoto mdogo tena.
Adamu na Catherine labda sio matajiri kama wanavyodai kuwa.
Nashangaa ndugu yako ameenda wapi.
Oliver alisikiza sauti ya bahari.
Monica anasema anahisi bora zaidi leo kuliko jana.
Dan na Linda waliacha kuzungumziana.
Ulimwona kwenye kituo asubuhi ya leo?
Je, hiki kikombe ni cha Alex?
Nilikuwa na maumivu ya kichwa, kwa hivyo sikuweza kufanya hivyo.
Hauwezi kutumia yake.
Je, kwa nini George alifanya hivyo mwenyewe?
Tulishinda mechi.
Akajificha nyuma ya mti.