Skip to content

Commit

Permalink
Create sw.md
Browse files Browse the repository at this point in the history
Localized 9 legal docs in Swahili.
  • Loading branch information
AdrianUrsea committed Jun 2, 2015
1 parent f58ed34 commit da77e83
Showing 1 changed file with 26 additions and 0 deletions.
26 changes: 26 additions & 0 deletions firefox_os_privacy_notice/sw.md
@@ -0,0 +1,26 @@
# Ilani ya Faragha ya Mfumo wa Uendeshaji wa Firefox

Mei 8, 2013
{: datetime="2013-05-08" }

Mozilla inajali kuhusu faragha yako. Wakati Mfumo wa Uendeshaji wa Firefox hutuma maelezo kwetu, [Sera yetu ya Faragha ya Mozilla](https://www.mozilla.org/privacy/) hueleza jinsi tunavyotumia maelezo hayo.

## Mambo unayofaa kujua

Mfumo wa Uendeshaji wa Firefox hutuunganisha na wengine ili kutoa vipengele vya bidhaa.
{: #location-services }

* Visasisho: Visasisho: Ili kujisasisha, Mfumo wa Uendeshaji wa Firefox huunganisha kiotomatiki kwenye huduma inayoendeshwa na au kwa niaba ya mtengenezaji wa kifaa chako. Mfumo wa Uendeshaji wa Firefox pia hukagua visasisho kwenye programu zilizosakinishwa kiotomatiki kwa kutuma ombi kwenye Soko la Firefox au, iwapo ulisakinisha programu kutoka kwenye eneo jingine, kuwa huduma za msanidi programu huyo.
* Eneo: Unapowasha huduma za eneo, Mfumo wa Uendeshaji wa Firefox unaweza kutumia maeneo ya data na mashirika ili kukadiria eneo lako, ikijumuisha GPS, AGPS na watoa huduma wengine wa huduma ya eneo la jiografia. Unaweza kulemaza huduma za eneo kwenye programu ya "Mipangilio" ya Mfumo wa Uendeshaji wa Firefox kwenye kifaa chako.
* Uamilishaji wa Mwanzo: Ili kutoa visasisho na programu sahihi, Mfumo wa Uendeshaji wa Firefox hutumia Mozilla ya data ya mara moja ya mlio wakati wa kuwasha mwanzo. [Jifunze zaidi](https://wiki.mozilla.org/FirefoxOS/Metrics)
* Matumizi ya Programu: Ili kuboresha utambuzi wa maudhui kwenye Soko la Firefox, Mfumo wa Uendeshaji wa Firefox hutuma "Maelezo ya Matumizi ya Programu" (k.v., muda wa matumizi amilifu, idadi ya kufungua/kufunga/kuharibika, orodha ya programu zisizosakinishwa kwenye vifaa vya Mfumo wa Uendeshaji wa Firefox) kwenye Mozilla. Unaweza kulemaza kushiriki kwa Maelezo ya Matumizi ya Programu kwenye programu ya "Mipangilio ya Mfumo wa Uendeshaji wa Firefox kwenye kifaa chako. [Jifunze zaidi](https://wiki.mozilla.org/FirefoxOS/Metrics/App_Usage)
* Tafuta Maelezo ya Mtoa Huduma wa Injini: Ili kuboresha utafutaji kwenye vifaa vya Mfumo wa Uendeshaji wa Firefox, Mfumo wa Uendeshaji wa Firefox hutuma maelezo kwenye Mozilla kuhusu injini ipi ya utafutaji ilitoa matokeo kwenye kifaa. Unaweza kulemaza kushiriki kwa maelezo ya matokeo ya utafutai wa injini kwenye programu ya "Mipangilio" ya Mfumo wa Uendeshaji wa Firefox kwenye kifaa chako. [Jifunze zaidi](https://wiki.mozilla.org/FirefoxOS/Metrics/App_Usage)

---------------------------------------

Kifaa unachotumia, kama vifaa vingi vya simu, kimeundwa na mashirika kadhaa. Ilani hii inafidia tu jinsi Mozilla hushughulikia maelezo yako kwa matoleo rasmi ya Mfumo wa Uendeshaji wa Firefox ilivyoidhinishwa na Mozilla.
{: #external-parties }

* Iwapo unatumia programu iliyoundwa na mtu mwingine isiyo Mozilla, sera zake za faragha zitatekelezwa.
* Vipengele vya utafutaji wa programu yenye nguvu ya Mfumo wa Uendeshaji wa Firefox inaendeshwa na Everything.me na sera yake ya faragha hutekelezwa, ambayo unaweza kupata katika <http://everything.me/privacy/firefox-os>.
* Mfumo wa Uendeshaji wa Firefox hukuruhusu kutumia huduma nyingine jumuishi kadhaa, kama vile barua pepe au mhudumu wako wa kijamii. Sera ya faragha ya huduma hizo zitatekelezwa kwenye matumizi yako kwayo.

0 comments on commit da77e83

Please sign in to comment.