Karibu katika npm hii ya kupata taarifa za namba za nida kutoka tanzania
npm install nida-tz
- Hii inatumia asynchronous functions katika kutuma ombi yaani
async - wait
- Function inabidi iwe na maombi mawili ili kurudisha taarifa za nida.
- Sehemu ya kwanza inakuwa na namba ya nida na sehemu ya pili inakuwa na
http method
ambazo niPOST au GET
- Mfano
async jinaLaFunction(nida,method)
# Syntax
async functionName(parameters);
# sample
const nidatz = require('nida-tz');
const method = "post"; #or "get
const nida = "12345123451234512345"; # put nin in string
async function mainFunction() => {
const userData = await nidatz.nidaData(nida, method);
}
Hivi ndio namna ya kutumia katika express
# express usage
const express = require('express');
const app = expess();
const nidatz = require('nida-tz');
app.get('/route', async (req, res)=>{
const nida = '12345123451234512345';
const method = 'post'; # unaweza kutumia POST au GET tu
const userData = await nidatz.nidaData(nida, method);
console.log(userData);
})
app.listen(portNumber, ()=>{})
-
Jumbe hii inamaana kuwa umetumia http methods ambazo hazikutambulika katika mbali na
POST or GET
-
Jumbe hii inamaana kuwa namba ya nida iliyotumika haikupata data yoyote kutoka katika maktaba
-
Jumbe hii inamaanisha kuwa kuna makosa ya kimchakato. Unaweza ukatuma tena ombi au ukabadili method
- Namba ya nida inatakiwa iwe katika mfumo wa string
- Ili uweze kutumia package hii inakulazimu uwe na link maalumu ya kuweza kupata data za nida
- Link hiyo ya kupata data haikuwekwa
- Link ya kuvutia data inabidi iwe saved kama NIDA_TZ katika mafaili kama .env